Tafsiri ya Sura Maryam 19:71
﴿وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا﴾
Tafsiri ya maana
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.comManeno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.
Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah
وهذا عام لجميع الخلق«درء تعارض العقل والنقل» 5/230Aliyoyanukuu kutoka kwa wengine
بعضهم ردّه «أن المراد دخولها والتعذيب فيها»«الاستغاثة في الرد على البكري» 1/343