Tafsiri ya Sura Al-Ghaafir 40:53

﴿وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْهُدَىٰ وَأَوْرَثْنَا بَنِي إِسْرَائِيلَ الْكِتَابَ﴾

Tafsiri ya maana

Na kwa hakika tulimpa Musa uwongofu, na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu,

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Imam Ibn al-Qayyim

ولما كان في سياق ذكر نعمه وآلائه ومنته عليهم قال: {وأورثنا بني إسرائيل الكتاب}«طريق الهجرتين وباب السعادتين» 1/195
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (40:51)Aya inayofuata (40:54)