Tafsiri ya Sura Al-Ghaafir 40:9

﴿وَقِهِمُ السَّيِّئَاتِ وَمَن تَقِ السَّيِّئَاتِ يَوْمَئِذٍ فَقَدْ رَحِمْتَهُ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ﴾

Tafsiri ya maana

Na waepushe na maovu; kwani umwepushaye maovu siku hiyo, hakika umemrehemu; na huko ndiko kufuzu kukubwa.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

والله تعالى قد جعل الملائكة يدعون، ويستغفرون لأهل التوحيد«قاعدة عظيمة في الفرق بين عبادات أهل الإسلام والإيمان وعبادات أهل الشرك والنفاق» 1/128
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (40:8)Aya inayofuata (40:12)