Tafsiri ya Sura Ar-Rahmaan 55:70

﴿فِيهِنَّ خَيْرَاتٌ حِسَانٌ﴾

Tafsiri ya maana

Humo wamo wanawake wema wazuri.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Imam Ibn al-Qayyim

Aliyoyanukuu kutoka kwa wengine

حديث مرفوع استشهد به «خيرات الأخلاق، حسان الوجوه»«إعلام الموقعين عن رب العالمين» 4/211
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (55:68)Aya inayofuata (55:74)