Tafsiri ya Sura Al-An'aam 6:21

﴿وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَىٰ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا أَوْ كَذَّبَ بِآيَاتِهِ إِنَّهُ لَا يُفْلِحُ الظَّالِمُونَ﴾

Tafsiri ya maana

Na nani dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Imam Ibn al-Qayyim

والقول على الله بلا علم صريح افتراء الكذب عليه«مدارج السالكين بين منازل إياك نعبد وإياك نستعين» 1/379
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (6:19)Aya inayofuata (6:23)