Tafsiri ya Sura Al-A'raaf 7:4

﴿وَكَم مِّن قَرْيَةٍ أَهْلَكْنَاهَا فَجَاءَهَا بَأْسُنَا بَيَاتًا أَوْ هُمْ قَائِلُونَ﴾

Tafsiri ya maana

Na miji mingapi tuliiangamiza, ikaifikia adhabu yetu usiku au walipo kuwa wamelala adhuhuri.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

فهذه الآيات: تقتضي أن الهلاك استحالة وفساد في الشيء الموجود كما سنبينه لا أنه يعني أنه ليس وجوده من نفسه إذ جميع المخلوقات تشترك في هذا.«مجموع الفتاوى» 2/29
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (7:3)Aya inayofuata (7:8)