Tafsiri ya Sura Al-A'raaf 7:47

﴿وَإِذَا صُرِفَتْ أَبْصَارُهُمْ تِلْقَاءَ أَصْحَابِ النَّارِ قَالُوا رَبَّنَا لَا تَجْعَلْنَا مَعَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ﴾

Tafsiri ya maana

Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, watasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Imam Ibn al-Qayyim

هذا دليل على [أنهم] بمكان مرتفع بين الجنة والنار«طريق الهجرتين وباب السعادتين» 1/383
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (7:46)Aya inayofuata (7:48)