Tafsiri ya Sura Al-Kahf 18:97

﴿فَمَا اسْطَاعُوا أَن يَظْهَرُوهُ وَمَا اسْتَطَاعُوا لَهُ نَقْبًا﴾

Tafsiri ya maana

Basi hawakuweza kuukwea, wala hawakuweza kuutoboa.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

أي يعلوا عليه.«مجموع الفتاوى» 6/208
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (18:96)Aya inayofuata (18:101)