Tafsiri ya Sura Aal-i-Imraan 3:47
﴿قَالَتْ رَبِّ أَنَّىٰ يَكُونُ لِي وَلَدٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِي بَشَرٌ قَالَ كَذَٰلِكِ اللَّهُ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ إِذَا قَضَىٰ أَمْرًا فَإِنَّمَا يَقُولُ لَهُ كُن فَيَكُونُ﴾
Tafsiri ya maana
Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.comManeno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.
Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah
فبين لما تعجبت من الولد أنه سبحانه يخلق ما يشاء«مجموع الفتاوى» 20/493Aliyoyanukuu kutoka kwa wengine
أحمد بن حنبل أقرّه «عيسى مخلوق بالكن؛ ليس هو نفس الكن»«مجموع الفتاوى» 20/493