Tafsiri ya Sura Al-An'aam 6:115

﴿وَتَمَّتْ كَلِمَتُ رَبِّكَ صِدْقًا وَعَدْلًا لَّا مُبَدِّلَ لِكَلِمَاتِهِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ﴾

Tafsiri ya maana

Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

فإنما يراد به الجملة التامة«الفتاوى الكبرى لابن تيمية» 5/215

Imam Ibn al-Qayyim

فالشريعة المنزلة من عند الله لا تصدق كاذبا، ولا تنصر ظالما.«الطرق الحكمية» 1/81
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (6:114)Aya inayofuata (6:118)