Tafsiri ya Sura Al-An'aam 6:26

﴿وَهُمْ يَنْهَوْنَ عَنْهُ وَيَنْأَوْنَ عَنْهُ وَإِن يُهْلِكُونَ إِلَّا أَنفُسَهُمْ وَمَا يَشْعُرُونَ﴾

Tafsiri ya maana

Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala wao hawatambui.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

أخبر أنهم يهلكون أنفسهم بنهيهم عن الرسول ونأيهم عنه«مجموع الفتاوى» 2/31
ومعلوم أن من نأى عن اتباع الرسول ونهى غيره عنه - وهو الكافر - فإن هلاكه بكفره هو حصول العذاب المكروه له دون النعيم المقصود.«مجموع الفتاوى» 2/31
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (6:23)Aya inayofuata (6:27)