Tafsiri ya Sura Al-A'raaf 7:170

﴿وَالَّذِينَ يُمَسِّكُونَ بِالْكِتَابِ وَأَقَامُوا الصَّلَاةَ إِنَّا لَا نُضِيعُ أَجْرَ الْمُصْلِحِينَ﴾

Tafsiri ya maana

Na wale wanao kishikilia Kitabu, na wakashika Swala - hakika Sisi hatupotezi ujira wa watendao mema.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

فاتباع الكتاب يتناول الصلاة وغيرها لكن خصها بالذكر لمزيتها«مجموع الفتاوى» 10/176
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (7:168)Aya inayofuata (7:172)