Tafsiri ya Sura Abasa 80:7

﴿وَمَا عَلَيْكَ أَلَّا يَزَّكَّىٰ﴾

Tafsiri ya maana

Na si juu yako kama hakutakasika.

Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani — v1.0.1 · QuranEnc.com

Maneno ya maimamu wawili yametolewa kwa Kiarabu asilia, neno kwa neno, pamoja na marejeo.

Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah

وأصل " الزكاة " الزيادة في الخير.«مجموع الفتاوى» 10/628
Fungua katika tafsiri shirikishi (maandiko kamili)
Aya iliyotangulia (80:4)Aya inayofuata (80:13)